Al Qadarif (jimbo)
14°0′N 35°0′E / 14.000°N 35.000°E
Al Qadarif (kwa Kiarabu: القضارف Gadaref, Gadarif au Qadārif) ni moja ya Wilayat au majimbo 18 ya Sudan. Lina ukubwa wa eneo la km² 75,263 na wakazi wanaokadiriwa kuwa 1,400,000 (2000).
Al Qadarif ndio mji mkuu wa jimbo hili; miji mingine ni pamoja na Doka.