Alama za Amani
Idadi kadhaa ya Alama za Amani zimetumika kwa njia tofauti kwenye tamaduni mbalimbali na muktadha. Njiwa na Tawi la mizeituni ilitumika kama alama kwa wakristo wa awali na badae kutumika kama ya kidunia, ikitangazwa na Dove lithograph na Pablo Picasso baada ya vita ya pili ya dunia. Mwaka 1950 “ alama ya Amani” kama inavyojulikana sasa kama ( Amani na upendo) ilitengenezwa na Gerald Holtom kama nembo ya kampeni ya Uingereza ya kupunguza silaha za nyuklia (cnd).[1]
Marejeo
hariri- ↑ Michael Muir (2018-02-13). "The CND logo -" (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-13. Iliwekwa mnamo 2022-08-15.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |