Albert Batyrgaziev

Bondia wa Urusi

Albert Khanbulatovich Batyrgaziev, (alizaliwa 23 Juni, 1998) ni mshindi wa medali ya dhahabu kutokea nchini Urusi [23 Juni 1998] katika mashindano ya Olimpiki huko Tokyo.[1][2]

Kazi hariri

Batyrgaziev alikuwa mpiga ndondi bingwa alipokua kijana kabla ya kuanza ndondi mwaka 2016.[3] Alikua mchezaji mashuhuri, Batyrgaziev aliiwakilisha Urusi kwenye Mashindano ya Dunia ya 2019, Baada ya kucheza kwa mara ya kwanza kitaaluma mwaka 2020.[4]

Batyrgaziev alishinda mapambano yake mawili ya kwanza mjini Tokyo na kufika nusu fainali, ambapo alitoka nyuma kwenye ubingwa na kumshinda mshindi wa medali tatu za Olimpiki wa Cuba Lázaro Álvarez. [5][6]

Marejeo hariri