Albert Beveridge

Mmarekani mhistoria na mwanasiasa
(Elekezwa kutoka Albert J. Beveridge)

Albert Jeremiah Beveridge (6 Oktoba 186227 Aprili 1927) alikuwa mwanasiasa na mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1920, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu kwa wasifu yake ya John Marshall.

Albert Beveridge
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Albert Beveridge kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.