Albert Lutuli

(Elekezwa kutoka Albert Luthuli)

Albert Lutuli[1] (takriban 189821 Julai, 1967) alikuwa mwalimu na mwanasiasa kutoka nchi ya Afrika Kusini.

Picha yake halisi.
Sanamu yake katika Nobel Square, Cape Town.

Alikuwa kiongozi wa ANC kuanzia mwaka 1952 hadi kifo chake mwaka 1967.

Mwaka wa 1960 alishinda Tuzo ya Nobel ya Amani kwa ajili ya kutokutumia nguvu katika kupinga apartheid.

Huangaliwa kama mtakatifu katika Kanisa Anglikana la Marekani.

Sikukuu yake ni tarehe 21 Julai, siku ya kifo chake.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
  Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Albert Lutuli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.