Alberto Fernández

Raisi wa Argentina

Alberto Ángel Fernández (amezaliwa 2 Aprili 1959) ni mwalimu, wakili na mwanasiasa wa Argentina, ambaye amekuwa Rais wa Argentina tangu mwaka 2019.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alberto Fernández kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.