Albrecht Kossel
Ludwig Karl Martin Leonhard Albrecht Kossel (16 Septemba 1853 – 5 Julai 1927) alikuwa daktari kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza protini. Mwaka wa 1910 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Albrecht Kossel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |