Alexis André Jr. (alizaliwa 31 Mei 1997) ni mchezaji wa soka na mtu maarufu katika mitandao ya kijamii wa asili ya Morocco aliyekuzwa nchini Ufaransa. Anacheza kama kipa.

Kazi hariri

André alikuwa akiba isiyotumiwa mara saba katika timu ya Championnat National 3 ya Schiltigheim wakati wa msimu wa 2014-2015.[1] Kisha alienda ichezea tena Nike Academy.

Marejeo hariri

  1. "Soccerway profile". Soccerway. Iliwekwa mnamo 27 February 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alexis André Jr. kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.