Alfonso Cuarón

Mtengeneza filamu wa Mexico

Alfonso Cuarón Orozco (Kimarekani: /kwɑːˈroʊn/ kwar-OHN; Kihispania: [alˈfonso kwaˈɾon]; alizaliwa 28 Novemba 1961) ni mtayarishaji wa filamu kutoka Mexico.

Alfonso Cuarón

Tuzo zake ni pamoja na tuzo tano za Academy, saba za BAFTA, na tatu za Golden Globe.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfonso Cuarón kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.