Alfred Hitchcock
Mh. Alfred Joseph Hitchcock (13 Agosti 1899 – 29 Aprili 1980) alikuwa mwongozaji na mtayarishaji filamu mkubwa wa Kiingereza. Yaaminika kwamba Alfred Hitchcock ndiyo mgunduzi na mwanzilishi wa mtindo mingi ya filamu za kusisimua na za aina ya kutisha. Baada ya kuongoza baadhi ya filamu za huko Uingereza, Alfred alielekea mjini Hollywood na akaja kuwa raia wa Marekani kunanko mwaka wa 1956.
Moja kati ya filamu alizoongoza Alfred ni kama ifuatavyo: The Lodger (1927), The Lady Vanishes (1938), Rebecca (1940), The Man Who Knew Too Much (1934 na ilijengwa upya mnamo 1956), Rear Window (1954), Vertigo (1958), North by Northwest (1959), Psycho (1960), The Birds (1963), Topaz (1969) na Frenzy (1972). Alfred vilevile ni mtangazaji na mwongozaji wa kipindi cha TV kiitwacho Alfred Hitchcock Presents.
Viungo vya nje
hariri- Alfred Hitchcock at the Internet Movie Database
- Alfred Hitchcock katika TCM Movie Database
- HitchcockOnline Ilihifadhiwa 9 Agosti 2018 kwenye Wayback Machine. - Contains a lengthy online essay and related links.
- Senses of Cinema's "Great Directors" Alfred Hitchcock profile
- Hitchcock's Style -- online exhibit from screenonline, a website of the British Film Institute
- Official Universal Website Ilihifadhiwa 17 Desemba 2014 kwenye Wayback Machine.
- The Alfred Hitchcock Scholars/"MacGuffin" website Ilihifadhiwa 16 Septemba 2008 kwenye Wayback Machine. - the online extension of the Alfred Hitchcock journal The MacGuffin.
- Writing With Hitchcock - Companion site to Steven DeRosa's book of the same name, includes original interviews, essays, script excerpts, and extensive material on Hitchcock's unproduced works.
- Basic Hitchcock Film Techniques Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2019 kwenye Wayback Machine. A checklist of his top 13 film techniques.
- EuroScreenwriters features interviews with Hitchcock, both text and video Ilihifadhiwa 20 Septemba 2013 kwenye Wayback Machine.
- Essay: The Lodger: The First 'Hitchcock' Film Ilihifadhiwa 1 Julai 2007 kwenye Wayback Machine.
- Alfred Hitchcock katika Movies.com
- Alfred Hitchcock's Album, Alfred Hitchcock receives a tribute in this album of "recomposed photographs".
- Hitchcock's Holocaust Film Ilihifadhiwa 14 Machi 2008 kwenye Wayback Machine.
- Frontline, Memory of the Camps
- A Painful Reminder
- Alfred Hitchcock Wiki
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alfred Hitchcock kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |