Alfredo Horacio Zecca (27 Septemba 1949 – 4 Novemba 2022) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Argentina. Alihudumu kama Askofu Mkuu wa Tucumán kuanzia mwaka 2011 hadi 2017, alipojiuzulu kwa sababu za kiafya.[1]

Marejeo

hariri
  1. "El Papa Francisco aceptó la renuncia de Zecca", La Gaceta, 9 June 2017. Retrieved on 9 June 2017. (es)