Algorithimu uchanguaji

Katika utarakilishi, algorithimu uchanguaji (kwa Kiingereza: sorting algorithm) ni algorithimu inayopanga vipengee vya orodha.

MarejeoEdit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).