Aliaa Magda Elmahdy

Mwanaharakati wa haki za wanawake nchini Misri


Aliaa Magda Elmahdy (kiarabu cha Misri: علياء ماجدة المهدي, IPA: [ʕælˈjæːʔ ˈmæɡdæ (ʔe)lˈmæhdi, ˈʕæljæ-]; alizaliwa Novemba 16, 1991 ) Ni mwanaharakati wa mtandao na mtetezi wa haki za wanawake wa Misri. Alijulikana kwa kuchapisha picha za uchi katika ukurasa wake kwenye mtandao[1][2] wa FAcebook. Ambayo aliielezea facebook kuhusu "unyanyapaaji dhidi ya jamii, ubaguzi wa rangi. ubaguzi wa kijinsia,unyanyasaji wa ngono na unafiki katika jamii"[3]

Aluaa Magda Elmahdy
Nchi Misri
Kazi yake Mwanaharakati wa mtandao

Marejeo hariri

  1. "this is not graffiti". thisisnotgraffiti-cairo.blogspot.co.uk (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-03-02. 
  2. "مذكرات ثائرة". arebelsdiary.blogspot.com.au (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-03-02. 
  3. Press, Associated (2011-11-17), "Egypt activist posts herself nude, sparks outrage", Ynetnews (kwa Kiingereza), iliwekwa mnamo 2022-03-02 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aliaa Magda Elmahdy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.