Alikiona
Alikiona (matokeo) ni tamthilia iliyoandikwa mnamo mwaka 1969 na mtunzi wa Tamthilia mtanzania Ibrahim Hussen. awali alikiona iliandikwa kwa lugha ya Kiswahili na kutafsiriwa katika lugha ya Kiingereza na Joshua williams.tamthilia hii inaelezea mahusiano kati ya mwanamke sadia na mpenzi wake Abdallah[1]. tamthilia hii imejikita katika uvumbuzi wa mahusiano ya mume sadia.tamthilia hii imeigizwa nawahusika watano.
alikiona ina vipengele vingi vya kiasili kama sifa ya kazi ya mwanzo ya hussein.lakini pia tamthilia hii ina vingele vya vichekesho ambavyo vinaingiliana na asili ya taarab.[2]
Marejeo
hariri- ↑ https://www.swahili-literatur.at/nacherzaehlungen/alikiona.pdf
- ↑ "African Books Collective: Ebrahim Hussein: Swahili Theatre and Individualism". www.africanbookscollective.com. Iliwekwa mnamo 2022-08-07.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alikiona kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |