Allan Julien Dokossi (kuzaliwa 14 oktoba 1999) ni mchezaji wa mpira wa kikapu wa Ufaransa mwenye asili ya jamuhuri ya Afrika ya kati pia ni mchezaji wa timu ya Fos Provence Basket inayoshiriki katika ligi ya LNB Pro A.

maisha katika clabu hariri

Katika msimu wa 2018-2019, Allan Dokossi alichezea timu ya Fos Provence Basket ikiwa kama seem ya ligi ya LNB Pro A iliyo shirikisha timu chini ya 21. apa, alipata wastani wa pointi 14 na kushindwa 11. Nambari hizi zilimhakikishia michezo yake ya kwanza kwenye kikosi cha kwanza katika kilabu.[1]

Marejeo hariri

  1. "La Nouvelle République du Centre-Ouest", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-01-24, iliwekwa mnamo 2022-09-04