Allison Crowe
Allison Louise Crowe (alizaliwa Nanaimo, British Columbia, Novemba 16, 1981) ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mpiga gitaa, na mpigaji kinanda wa Kanada ambaye makazi yake yako Corner Brook, Newfoundland na Labrador.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Secrets by Allison Crowe". Aprili 29, 2004 – kutoka Apple Music.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Allison Crowe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |