Almazán ni mji mdogo wa mkoa wa Soria katika jimbo la Kastila-Leon la Hispania. Kutokana na sensa iliyofanyika mwaka 2004 na (INE), manisipaa hiyo hadi sasa inaidadi ya wakazi wapatao 5,755.

Almazán
Penye alama nyekundu ndio ukubwa wa manisipaa ya Almazán
Nchi Hispania
Jimbo / Mkoa Soria
Manisipaa Almazán
Eneo 165 km² (63.7 sq mi)
Wakazi 5,755
Mji wa Almazán, Kastila-Leon
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Almazán kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.