Altaneta (kutoka Kiingereza: alternator; pia: kigeuzioumeme) ni dainamo inayozalisha mkondo geu wa umeme[2] ili kutoa umeme wenye nguvu zaidi na kuuelekeza kunakotakiwa katika mfumo wa uzalishaji nguvu wa umeme.[3]

Altaneta ya mwaka 1909.[1]

Tanbihi hariri

  1. Abraham Ganz at the Hindukush. Studiolum. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-02-11. Iliwekwa mnamo 2019-02-10.
  2. Aylmer-Small, Sidney (1908). "Lesson 28: Alternators". Electrical railroading; or, Electricity as applied to railroad transportation. Chicago: Frederick J. Drake & Co. pp. 456–463. 
  3. Gordon R. Selmon, Magnetoelectric Devices, John Wiley and Sons, 1966 no ISBN pp. 391-393

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.