Always and Forever
Tafadhali saidia kuboresha makala hii kwa kuipanua. Ili kupata sababu angalia ukurasa wa majadiliano. Makala hii imetiwa alama tangu tarehe Julai 2008 |
Always & Forever ni albamu ya pili ya mwimbaji wa muziki wa ‘’country’’ Randy Travis. Ilitolewa mnamo 4 Aprili 1987 na shirika la Warner Bros. Records. Singles zilizotolewa katika albamu hii ni pamoja na singles "Too Gone Too Long", "I Won't Need You Anymore (Always and Forever)", "Forever and Ever, Amen" na "I Told You So", zote ambazo zilifika nafasi ya kwanza katika chati za Billboard Hot Country Songs.
Always & Forever | ||
---|---|---|
Albamu ya studio ya Randy Travis |
Wimbo "What'll You Do About Me" umefanywa na wasaniiwengi, yakiwemo matoleo ya single na Steve Earle, The Forester Sisters na Doug Supernaw. "I Told You So" pia ni wimbo ambao ulifanywa na Carrie Underwood akishirikiana na Travis katika albamu yake ya 2007 ya Carnival Ride, ambapo ilitolewa kama single mnamo Januari 2009.
Mpangilio wa Vibao
hariri- "Too Gone Too Long" (Gene Pistilli) - 2:24
- "My House" (Al Gore, Paul Overstreet) - 2:54
- "Good Intentions" (Marvin Coe, Merle Haggard, Randy Travis) - 3:37
- "What'll You Do About Me" (Dennis Linde) - 2:38
- "I Won't Need You Anymore (Always and Forever)" (Max D. Barnes, Troy Seals) - 3:08
- "Forever and Ever, Amen" (Overstreet, Don Schlitz) - 3:31
- "I Told You So" (Travis) - 3:38
- "Anything" (Ronny Scaife, Phil Thomas) - 2:41
- "The Truth Is Lyin' Next to You" (Susan Longacre, Kent Robbins) - 3:24
- "Tonight We're Gonna Tear Down the Walls" (Jim Sales, Travis) - 2:38
Shukrani kwa:
hariri- Baillie & The Boys – Sauti za nyuma
- Russell Barenberg – Gitaa ya akostiki
- Dennis Burnside - keyboards
- Larry Byrom – gitaa ya akostiki
- Mark Casstevens - gitaa ya akostiki
- Jerry Douglas - Dobro
- Paul Franklin - pedal Dobro
- Steve Gibson - gitaa ya akostiki, naya stima
- Doyle Grisham - steel guitar
- Sherri Huffman – sauti za nyuma
- David Hungate – gitaa ya bass
- Kirk "Jelly Roll" Johnson - harmonica
- Dennis Locorriere – sauti za nyuma
- Larrie Londin - dramu
- Brent Mason - gitaa ya akostiki, gitaa ya stima
- Terry McMillan - percussion, harmonica
- Mark O'Connor - fiddle
- Paul Overstreet – sauti za nyuma
- Lisa Silver - sauti za nyuma
- James Stroud - dramu
- Diane Tidwell – sauti za nyuma
- Jack Williams – gitaa ya bass
- Dennis Wilson – sauti za nyuma
Alitanguliwa na Hillbilly Deluxe iliyoimbwa na Dwight Yoakam |
Top Country Albums Albamu nambari Moja 20 Juni 1987 - 29 Agosti 1987 |
Akafuatiwa na Born to Boogie iliyoimbwa na Hank Williams, Jr. |
Alitanguliwa na Born to Boogie by Hank Williams, Jr. |
Albamu za Juu za Country- albamu nambari moja 5 Septemba 1987 - 7 Novemba 1987 |
Akafuatiwa na Greatest Hits Volume Two by George Strait |
Alitanguliwa na Greatest Hits Volume Two by George Strait |
Top Country Albums number-one album 14 Novemba 1987 |
Akafuatiwa na Just Us by Alabama |
Alitanguliwa na Just Us by Alabama |
Top Country Albums number-one album 28 Novemba 1987 - 20 Februari 1988 |
Akafuatiwa na 80's Ladies by K.T. Oslin |
Alitanguliwa na If You Ain't Lovin', You Ain't Livin' by George Strait |
Top Country Albums number-one album 7 Mei 1988 - 11 Juni 1988 |
Akafuatiwa na Reba by Reba McEntire |
Alitanguliwa na Storms of Life by Randy Travis |
Top Country Albums number-one album of the year 1988 |
Akafuatiwa na Loving Proof by Ricky Van Shelton |