Amandine Gay
Amandine Gay (amezaliwa Oktoba 16, 1984) ni mwanafeministi wa Kifaransa, mtengenezaji wa filamu, mtafiti na mwigizaji. Filamu yake ya kwanza ya Ouvrir la Voix ni filamu ya hali halisi inayotoa sauti kwa wanawake Weusi nchini Ufaransa ambayo inalenga kutoa mtazamo mwingine wa harakati za kifemisti.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ http://www.lacouleurdeladoption.com/rencontre-avec-amandine-gay/
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-11-03. Iliwekwa mnamo 2022-02-28.
- "Rencontre avec Amandine Gay, pionnière de la France". La couleur de l'adoption (in French). Retrieved 2017-11-11.
- "Amandine Gay : Noire is the New Black". Libération.fr (in French). Retrieved 2017-11-11.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Amandine Gay kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |