Amarillo ni mji wa Marekani katika jimbo la Texas. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 227,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 1099 kutoka juu ya usawa wa bahari. Amarillo ni sehemu iliyo na mifugo mingi na pia yenye uchinjaji wa mifugo wa hali ya juu hapa Texas.

Mji wa Amarillo, Texas


Amarillo
Amarillo is located in Marekani
Amarillo
Amarillo

Mahali pa mji wa Amarillo katika Marekani

Majiranukta: 35°11′57″N 101°50′43″W / 35.19917°N 101.84528°W / 35.19917; -101.84528
Nchi Marekani
Jimbo Texas
Wilaya Potter
Randall
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 173,627
Tovuti:  www.amarillo.gov


Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Amarillo, Texas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.