Ambari ni kitu chenye rangi ya majivu. Inafanywa na nyangumi tumboni. Ina harufu ya kiundongo inapofanywa lakini baada ya wakati hupata harufu tamu kama manukato ya alkoholi ethili. Hutumiwa kwa kutengeneza marashi.

Ambari

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ambari kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.