Ambrogio Morelli
Ambrogio Morelli (Nerviano, 4 Septemba 1905- Nerviano, 10 Oktoba 2000) alikuwa mwanariadha wa Italia mtaalamu wa mbio za baiskeli za barabarani.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ambrogio Morelli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |