Amina Titi Atiku-Abubakar

Amina Titilayo Atiku-Abubakar (alizaliwa kama Titilayo Albert; 6 Juni 1951) ni mtetezi wa haki za wanawake na watoto kutoka Nigeria na mke wa naibu rais wa zamani wa Jamhuri ya Shirikisho ya Nigeria, Atiku Abubakar[1]. Yeye ni mwanzilishi wa Women Trafficking and Child Labour Eradication Foundation (WOTCLEF) na ndiye manzilishi[2] wa muswada binafsi uliopelekea kuanzishwa kwa National Agency for the Prohibition of Trafficking in Persons (NAPTIP).

Marejeo

hariri
  1. "How I Met Married Atiku Titi Abubakar". premiumtimesng.com. News Agency of Nigeria. 18 Novemba 2018. Iliwekwa mnamo 19 Julai 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Women Trafficking and Child Labour Eradication Foundation (WOTCLEF)", The Communication Initiative Network, 21 March 2011. Retrieved on 16 June 2017. (en) 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amina Titi Atiku-Abubakar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.