Ampere (kifupi amp) ni kipimo cha SI kwa mkondo wa umeme. Alama yake ni A.

Jina limetokana na mtaalamu Mfaransa André-Marie Ampère aliyegundua sumakumeme

1 A = 1 C / s = 1 C · s-1 = 1 W / V = 1 W · V-1

Viungo vya NjeEdit