André Michael Lwoff (8 Mei 190230 Septemba 1994) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza vijidudu na virusi. Mwaka wa 1965, pamoja na Francois Jacob na Jacques Monod alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

André Lwoff
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu André Lwoff kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.