André Pereira

ukarasa wa maana wa Wikimedia

André Filipe Pereira (alizaliwa 5 Mei 1995) ni mchezaji wa soka wa Ureno ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya FC Porto na timu ya taifa ya Ureno.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu André Pereira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.