Andrea Sylvester Masiye

Andrea Sylvester Masiye alikuwa mwandishi wa riwaya kutoka Zambia.

Riwaya zake kadhaa ziliandikwa kwa Kiingereza na baadhi katika lugha ya Chichewa. Miongoni mwa riwaya mashuhuri za Kiingereza ni: Before dawn, Singing for freedom, Lonely village, na mchezo Lands of Kazembe.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andrea Sylvester Masiye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.