Andrew C. McLaughlin

Andrew Cunningham McLaughlin (14 Februari 186124 Septemba 1947) alikuwa mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1936, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake A Constitutional History of the United States.

Andrew C. McLaughlin
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andrew C. McLaughlin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.