Anicet Lavodrama
Anicet-Richard Lavodrama y Ondoma (alizaliwa Bangui, 4 Julai 1963)[1] alikuwa mcheza mpira wa kikapu, ambaye kwa sasa amestaafu na raia wa Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Timu ya taifa Jamhuri ya Afrika ya Kati
haririLavodrama alikuwa miongini mwa wachezaji walio liwakilisha taifa katika mashindano ya Olimpiki mwaka 1988 akiwa na timu ya mpira wa kikapu. Akionekana katika michezo yote saba, Lavodrama alifunga pointi 30 mara mbili, na kucheza kwa kiwango bora kwenye michezo 4 kati ya sita.
Marejeo
hariri- ↑ "Anicet Lavodrama - Bio, Net Worth, Age, Birthday, Dating, Wiki!" (kwa American English). 2021-10-18. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-09-02. Iliwekwa mnamo 2022-09-02.