Aniceti Kitereza

Aniceti Kitereza (1896 - 1981) alikuwa mwandishi Mtanzania aliyeandika hasa katika lugha yake ya Kikerewe.

Mwaka wa 1945, alitolea riwaya yake hodari kabisa Myombekere na Bugonoka na Ntulanalwo na Bulihwali.

MaandishiEdit

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aniceti Kitereza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.