Anna Kennedy
Anna Kennedy (alizaliwa Machi 12, 1960) ni mtetezi wa haki za walemavu na neurodiversity ambaye amefanya kazi ya kuboresha elimu na huduma nyingine kwa watoto na watu wazima wanaoelezwa kuwa katika "spectrum ya autismu"(kiwango tofauti cha dalili na ufanisi wa usonji) na hali nyingine za neurodiverse. Katika juhudi zake za kusaidia, ameweza kuanzisha shule mbili, chuo, nyumba ya mapumziko, na tovuti inayofuatiwa na zaidi ya wafuasi 100,000 kutoka duniani kote. .[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Autism School by Mum of the year award winner Anna Kennedy". Tesco Magazine. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-07-07. Iliwekwa mnamo 2014-02-24.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Anna Kennedy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |