Annabel Blanchard (alizaliwa 7 Mei 2001) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Crystal Palace F.C, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL).[1][2]

Blanchard mnamo 2021

Marejeo

hariri
  1. "England - A. Blanchard - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". uk.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-09-17.
  2. "Blanchard wins Women's Championship POTM and GOTM - News". Crystal Palace F.C. (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2023-10-16. Iliwekwa mnamo 2024-09-17.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Annabel Blanchard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.