Anoreksia
Anoreksia inaweza kurejelea:
- Hali ya kula
- Anoreksia (dalili), ni dalili ya ukosefu wa hamu ya kula chochote kile kiko
- Anoreksia navosa, hali ya ulaji usio wa kawaida kwa kupoteza uzito wa mwili kupindukia na pia kuwa na wasiwasi mwingi usiostahili kuhusu umbo la mwili
- Anoreksia "ya miujiza", haswa kwa wanawake wazima na hamadi ambao hujinyima chakula, wakati mwingine hadi kifo, kwa jina la Mungu
- Mahusiano
- Anoreksia ya kingono, ni neno linalotumika kuelezea ukosefu wa "hamu" ya mwingiliano wenye vitendo vya kufanya mapenzi
- Muziki
- Anoreksia Navosa (bendi) bendi ya muziki wa kiokestra aina ya "Black Metal"(midundo ya gita,sauti na ngoma iliyo kasi) ya Ufaransa
- Anorexia Nervosa, albamu yenye sehemu mbili ambayo inajumuishaAnorexia (albamu) na Nervosa (albamu), iliyoimbwa na bendi ya Showbread
Tazama pia
hariri