Anthony Stephen Fauci (alizaliwa 24 Desemba 1940) ni daktari wa Marekani na mtaalam wa kinga, ambaye ni mkurugenzi wa Taasisi ya Taifa ya Mizio na Magonjwa ya Kuambukiza (NIAID) tangu 1950 mpaka sasa. Tangu mwezi wa kwanza mwaka huu, yeye ni mtu muhimu katika kikosi kazi cha kupambana na virusi vya Korona. Fauci ni mmoja wa wataalam bora kuhusu magonjwa ya kuambukiza, na mtaalm ambaye watu wanawaamini zaidi nchini Marekani.

Anthony Fauci

Picha Rasmi(2007)

Aliingia ofisini 
November 2, 1984
Rais Kigezo:List collapsed
mtangulizi Richard M. Krause

tarehe ya kuzaliwa 24 Desemba 1940 (1940-12-24) (umri 83)
New York City, U.S.
ndoa Christine Grady (m. 1985–present) «start: (1985)»"Marriage: Christine Grady to Anthony Fauci" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Anthony_Fauci)
watoto 3
Military service
Awards

Wakati Fauci alipokuwa daktari katika Taasisi ya Afya Taifa (NIH), yeye alihudumia afya ya umma ya Marekani kwa njia tofauti kwa miaka hamsini zaidi, na yeye alikuwa mshauri kwa kila rais baadaye Jimmy Carter. Fauci alisaidia utafiti kuhusu UKIMWI na pia magonjwa ya kuambukiza mengine wakati wa yeye alikuwa daktari na pia wakati wa yeye kuwa rais la NIH na NIAID. Toka Mwaka elfu moja mia tisa na themanini na tatu mpaka elfu mbili na mbili yeye, Katika majarida yote ya kisayansi, Fauci alitajwa zaidi kuliko wanasayansi wengine. Kwa sababu Dkt. Fauci alikuwa mchapakazi na mzuri sana, yeye alipewa tuzo ya Presidetnial Medal of Freedom na Rais George W. Bush ambayo ni tuzo bora zaidi amabalo raia la Marekani wanaweza kupata.

Kazi yake hariri

 
Fauci na President George W. Bush wakati wa kupokea National Medal of Science 2007

Mwaka 1968 Fauci alijungua na Taasisi ya Afya Taifa (NIH) kuwa mshirika wa kliniki Maabara ya Kitafiti (LCI) katika NIAID. Miaka sita baadye yeye akawa mkuu wa sehemu ya fiziolojia ya kilinki, na miaka sita baadaye akawa mkuu, yeye alijiteuliwa mkuu wa maabara na mfumo wa kinga. Kisha miaka 4 baadaye akawa mkuu wa NIAID, ambaye leo bado ni Fauci. Kuwa Mkuu wa NIAID yeye anawajibika kwa utafiti wote, ambacho kina utafiti uliotumika kuhusu magonjwa ya kuambukiza na magonjwa yanayohusiana na chanjo. Wakati yeye alijipoulizwa kuwa mkuu wa National Institute of Health Dkt. Fauci alisema hapana, lakini leo yeye ni labda muhimu zaidi kuliko daktari katika Amerika.

Daktari Fauci ana historia ya kuogofya sana. Wakati ukimwi ulipoanza kuenea miaka ya 1980s, alisema kwamba watu wanaeza kuambukizana virusu hivyo kwa kupumua na kuguzana kikawaida, yaani bila ya kufanya mapenzi. Dawa ya AZT ilipogunduliwa, ambayo huwaumiza sana wanaoitumia dhidi ya ugonjwa huo, Daktari Fauci aliendelea kuipa dawa hiyo umaarufu, wakati ambao wagonjwa wengi walikua wakifariki kwa kuitumia. Hivi majuzi, alitumia mamlaka yake kama mkuu wa taasisi ya NIH kupeana fedha za utafiti ambazo zilitumika kuwatesa mbwa wachanga kwa kuwashika na kuwazuia kwa nguvu walipokuwa wakiumwa na wadudu wa aina ya chawa katika sura na vichwa vyao. Pia, mbwa hao walikatwa koo zao kuwazuia wasibweke wala kutoa sauti ya aina yeyote.

Isitoshe, daktari huyu anazidi kutumia vibaya cheo chake katika taasisi hiyo kuwaadhibu wanasayansi wanaopinga sera zake dhidi ya ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona. Yeye huwanyima fedha za utafiti, wakati huohuo akiwapa fedha wanasayansi wanaokubaliana naye ili tu wapate fedha hizo.

Kikosi Kazi kuhusu Virusi vya Korona hariri

 
Fauci alisema na White House bonyeza kuhusu COVID-19 Aprili 2020, kutazamwa na raisDonald Trump (kushoto) na makamu raisMike Pence (kulia)

Leo, Fauci ni mshiriki wa Kikosi Kazi cha Kupambana na Virusi vya Korona cha White House , ambacho rais Donald Trump alianza siku ya mwisho ya mwezi wa kwanza wa mwaka huu. Kikosi hiki kiliundwa kusaidia kuzuia kuenea kwa virusi na katika kikosi cha Fauci akawa mkuu msemaji wa afya ya umma, na hapa yeye alikuwa msaidizi hodari kwa Kimo Dhabiti na kuvaa barakoa ya usoni.

Maisha binafsi hariri

Mwaka 1985, Fauci alimuoa Christine Grady ambaye ni muuguzi na mtaalam wa biolojia katika NIH, na wao walikutana baada ya kusaidia mgonjwa. Grady ni mkuu wa Idara ya Maadili katika NIH, na Fauci na Grady wana wazima watoto watatu.

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu: