Antiokia wa Pisidia

(Elekezwa kutoka Antioch, Pisidia)

Antiokia wa Pisidia (kwa Kigiriki: Ἀντιόχεια τῆς Πισιδίας, Antiokeia tes Pisidias) ulikuwa mji wa Wagiriki wa Kale katika rasi ya Anatolia, sasa katika wilaya ya Isparta, nchini Uturuki.

Antiokia kutoka thieta ya mji.
Maghofu ya mji.
Kisima.

Kwa sasa ni maghofu tu yanayopatikana km 1 kaskazini-mashariki kwa Yalvaç.

Mwaka 46 Mtume Paulo na Barnaba walifika mara mbili kuinjilisha huko (Mdo 13:13-52 na 14:21-23). Paulo alirudi tena katika maeneo hayo wakati wa safari yake ya pili (16:1) na ya tatu (18:23) ingawa alipatwa na dhuluma (2 Tim 3:11).

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Mitchell, Stephen. Pisidian Antioch : the site and its monuments / by Stephen Mitchell and Marc Waelkens ; with contributions by Jean Burdy ... [et al.]. London : Duckworth with The Classical Press of Wales, 1998.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Antiokia wa Pisidia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.