Antonina Grégoire

Antonina Grégoire (23 Januari 1914 – 21 Julai 1952) alikuwa mhandisi wa biashara, mwanaharakati wa haki za wanawake na Mkomunisti wa Ubelgiji.

Antonina Grégoire

Alijiunga na kundi la upinzani la Partisans Armés la Ubelgiji wakati wa Vita vya Pili vya Dunia na aliendesha kitengo cha ukusanyaji wa taarifa za kiintelijensia. Baada ya vita, alijihusisha na siasa kabla ya kufukuzwa kutoka Chama cha Kikomunisti kwa sababu ya asili zake za kibwanyenye.[1]

Marejeo

hariri
  1. Gubin (historica.), Éliane (2006). Dictionnaire des femmes belges: XIXe et XXe siècles (kwa Kifaransa). Lannoo Uitgeverij. ISBN 978-2-87386-434-7. Iliwekwa mnamo 2021-11-12.
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antonina Grégoire kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.