Apizaco, Tlaxcala

Apizaco ni mji mkubwa wa pili katika jimbo la Tlaxcala. Mwaka 2005 idadi ya wakazi ilikuwa 49,459. Eneo lake ni 21.94 km². Mji upo m 2406 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Apizaco, Tlaxcala


Apizaco
Nchi Mexiko
Jimbo Tlaxcala
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 49,459
Tovuti:  www.apizaco.gob.mx

Mji ulianzishwa mwaka 1866.


Mahali pa Apizaco katika Tlaxcala
Mahali pa Tlaxcala katika Mexiko
Mexico Flag Map.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Apizaco, Tlaxcala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.