Apolinari wa Ravenna

Apolinari wa Ravenna, mzaliwa wa Antiokia, (Syria ya kale, leo Antakya, nchini Uturuki) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo wa Italia hadi alipouawa huko kwa ajili ya imani yake.) Kwa hiyo anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Nakshi inayomchora Apolinari katika Basilika lake Sant'Apollinare in Classe, Ravenna.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Julai[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.