Apro wa Toul

Apro wa Toul (kwa Kifaransa: Epvre au Evre; alifariki 15 Septemba 507) alikuwa askofu wa mji huo, leo nchini Ufaransa[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Septemba[2].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

MarejeoEdit

  • (Kifaransa) Chanoine André Laurent , Ils sont nos aïeux, les saints de chez nous, Mirecourt, 1980.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.