Kim Renard Nazel (amezaliwa Juni 17, 1965), [1] anajulikana zaidi kwa majina yake ya kisanii Arabian Prince au Profesa X, ni rapa, mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa muziki, na DJ [2] [3][4][5][6]kutoka nchini Marekani. Anajulikana zaidi kuwa mwanachama mwanzilishi wa N.W.A.

Mbali na taaluma yake ya muziki, alifanya kazi katika special effects, uhuishaji wa 3D na michezo ya video.[7][8][9]

Arabian Prince
Taarifa za awali
Jina la kuzaliwaKim Renard Nazel
Amezaliwa17 Juni 1965 (1965-06-17) (umri 59)
Kazi yakeRapa Mwimbaji, Mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa muziki, DJ
AlaVocals, synthesizer, keyboards, turntables, drum machine, sampler
Miaka ya kazi1984– hadi sasa
StudioOrpheus Records
Da Bozak Records
Macola Records
Stones Throw Records
Ameshirikiana naN.W.A
Bobby Jimmy & the Critters
Uncle Jamm's Army
J. J. Fad
Ministry
  1. "Kim R Nazel, Born 06/17/1965 in California | CaliforniaBirthIndex.org". www.californiabirthindex.org. Iliwekwa mnamo 2022-06-01.
  2. HipHopDX- https://hiphopdx.com (2008-08-23). "Arabian Prince: New Funky Nation". HipHopDX. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-06-01. Iliwekwa mnamo 2022-06-01. {{cite web}}: External link in |author= (help)
  3. Martin Cizmar. "Arabian Prince: What Happened After N.W.A. and the Posse?". Phoenix New Times (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-06-01.
  4. Wiggins, Martin, "Where to Find Lost Plays", Lost Plays in Shakespeare's England, Palgrave Macmillan, iliwekwa mnamo 2022-06-01
  5. "Arabian Prince | West Coast Rap Artists | West Coast Rap Pioneers | Tribute to the Early West Coast Rap Scene: Website Title". web.archive.org. 2015-08-08. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-08-08. Iliwekwa mnamo 2022-06-01.
  6. "Kept Outta "Compton": N.W.A's Arabian Prince Has No Regrets". HuffPost (kwa Kiingereza). 2015-09-08. Iliwekwa mnamo 2022-06-01.
  7. "Arabian Prince Left N.W.A and He's Doing Just Fine". MEL Magazine (kwa American English). 2016-01-17. Iliwekwa mnamo 2022-06-01.
  8. Chris Martins (2008-09-10). "Arabian Prince: A Jheri Blossoms". LA Weekly (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-06-01.
  9. "Archives". Los Angeles Times (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-06-01.