Arbogasti (alifariki 678 hivi) alikuwa mmisionari katika Alsace ya leo na askofu wa Strasbourg (leo nchini Ufaransa)[1].

Mt. Arbogasti akiingia Strasbourg amevaa kiaskofu.

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Julai[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Vyanzo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.