Argimiro

Argimiro (alizaliwa Cabra akafariki Cordoba, Hispania, 28 Juni 856) alikuwa mmonaki Mkristo wa Hispania, aliyeuawa na mtawala wa eneo hilo, Mohamed I wa Cordoba kwa kukataa kusilimu[1].

Mahali panapotunza masalia yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 28 Juni[2].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-11-26. Iliwekwa mnamo 2020-06-27.
  2. Martyrologium Romanum

MarejeoEdit

  • Jessica Coope: Martyrs of Cordoba: Community and Family Conflict in an Age of Mass Conversion: Lincoln: University of Nebraska Press: 1995: ISBN 0-8032-1471-5.
  • Kenneth Wolf: Christian Martyrs in Muslim Spain: Cambridge: Cambridge University Press: 1988: ISBN 0-521-34416-6.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.