Arisa Minamino (alizaliwa 26 Novemba 1991) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya JEF United Chiba Ladies inayoshiriki ligi ya wanawake ya WE League.[1]

Marejeo hariri

  1. "Scoresheet". weleague.jp. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arisa Minamino kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.