Arsenal FC
Ni muungano wa wachezaji huko uingereza
(Elekezwa kutoka Arsenal F.C.)
Arsenal FC ni klabu ya kandanda ya kulipwa yenye makao yake Islington, katika mji mkuu wa London nchini Uingereza.
Arsenali
Kuanzishwa | 1886 ![]() |
---|---|
Jina rasmi | Arsenal Football Club ![]() |
Native label | Arsenal F.C. ![]() |
Nickname | The Gunners ![]() |
Mdhamini | Emirates ![]() |
Mchezo | Mpira wa miguu ![]() |
Ameitwa baada ya | Royal Arsenal ![]() |
Imeanzishwa na | David Danskin ![]() |
Mwenyekiti | Stan Kroenke ![]() |
Nchi | Ufalme wa Muungano ![]() |
Kocha mkuu | Mikel Arteta ![]() |
Ligi | Ligi Kuu Uingereza ![]() |
Mahali pa nyumbani | Emirates, Arsenal Stadium ![]() |
Inamilikiwa na | Kroenke Sports & Entertainment ![]() |
Mmiliki | Manor Ground, Plumstead, Highbury Square, Emirates ![]() |
Eneo la makao makuu | London ![]() |
Tuzo iliyopokelewa | BBC Sports Personality Team of the Year Award ![]() |
Tovuti | https://www.arsenal.com/ ![]() |
Victory | 1988–89 Football League First Division, 2003–04 FA Premier League ![]() |
Jamii ya washiriki | ![]() |
Rangi inayotambulika | nyekundu, rangi nyeupe ![]() |
Has works in the collection | Netherlands Open Air Museum ![]() |

![]() | ||||
| ||||
![]() |
Klabu hiyo inacheza katika Ligi Kuu ya soka ya Uingereza. Klabu imeshinda makombe mara 13 ya ligi ya FA, vikombe viwili vya Ligi kuu,
Arsenal ilikuwa klabu ya kwanza kutoka Kusini mwa Uingereza ili kujiunga na ligi kuu, mwaka 1893, na walifikia Idara ya Kwanza mwaka 1904. Walipigwa mara moja tu mwaka wa 1913, wanaendelea mstari mrefu zaidi katika timu zinazoshikilia nafasi za juu.[1]
Katika miaka ya 1930, Arsenal ilishinda michuano ya Ligi na vikombe viwili vya FA,walishinda Ligi mara moja na Kombe la FA mara mbili. Kati ya 1989 na 2005 ilishinda makombe ya Ligi mara tano na vikombe vitano vya FA.[2][3][4]
Marejeo hariri
- ↑ English Clubs Divisional Movements 1888–2016. Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation (23 June 2016).
- ↑ England – First Level All-Time Tables. Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation (24 August 2017).
- ↑ "Football: How consistency and caution made Arsenal England's greatest", The Independent, 17 December 1999.
- ↑ Most consecutive UEFA Champions League campaigns (21 May 2017).
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Arsenal FC kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |