Arsenal FC

Ni muungano wa wachezaji huko uingereza

Arsenal FC, ni klabu ya kandanda ya kulipwa yenye makao yake Islington, katika mji mkuu wa London, nchini Uingereza.

Arsenali
association football club
Kuanzishwa1886 Hariri
Jina rasmiArsenal Football Club Hariri
Native labelArsenal F.C. Hariri
NicknameThe Gunners Hariri
MdhaminiEmirates Hariri
Mchezompira wa miguu Hariri
Ameitwa baada yaRoyal Arsenal Hariri
Imeanzishwa naDavid Danskin Hariri
MwenyekitiStan Kroenke Hariri
NchiUfalme wa Muungano Hariri
Kocha mkuuMikel Arteta Hariri
LigiLigi Kuu Uingereza Hariri
Mahali pa nyumbaniEmirates Hariri
Inamilikiwa naKroenke Sports & Entertainment Hariri
MmilikiManor Ground, Plumstead, Highbury Square, Emirates Hariri
Eneo la makao makuuLondon Hariri
Tuzo iliyopokelewaBBC Sports Personality Team of the Year Award Hariri
Tovutihttps://www.arsenal.com/ Hariri
Victory1988–89 Football League First Division, 2003–04 FA Premier League Hariri
Rangi inayotambulikanyekundu, rangi nyeupe Hariri
Has works in the collectionNetherlands Open Air Museum Hariri
Jamii ya washiriki Hariri
Arsenal FC
Red shield with large gold cannon below the word "Arsenal" in white letters. Thin white and blue stripes line the shield's left and right edges.
Rangi nyumbani
Rangi za safari
Current season
Uwanja wa Emirates, Arsenal FC

Klabu hiyo inacheza katika Ligi Kuu ya soka ya Uingereza. Klabu imeshinda makombe mara 13 ya ligi (ikijumuisha taji moja ambalo haikupoteza katika mchezo yote), makombe 14 ya FA , vikombe viwili vya Carabao na makombe 17 ya Ngao ya jamii (Community Shield)

Arsenal ilikuwa klabu ya kwanza kutoka kusini mwa Uingereza kujiunga na ligi kuu ya Uingereza mwaka 1893, na walifikia Idara ya kwanza mwaka 1904. Walipigwa mara moja tu mwaka wa 1913, wanaendelea mstari mrefu zaidi katika timu zinazoshikilia nafasi za juu.[1]

Katika miaka ya 1930, Arsenal ilishinda michuano ya Ligi na vikombe viwili vya FA,walishinda Ligi mara moja na Kombe la FA mara mbili. Kati ya 1989 na 2005 ilishinda makombe ya Ligi mara tano na vikombe vitano vya FA.[2][3][4]

Marejeo

hariri
  1. "English Clubs Divisional Movements 1888-2016". web.archive.org. 2016-08-05. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-05. Iliwekwa mnamo 2024-05-02. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |dead-url= (help)
  2. "England - First Level All-Time Tables". web.archive.org. 2017-08-24. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-24. Iliwekwa mnamo 2024-05-02. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |dead-url= (help)
  3. "Football: How consistency and caution made Arsenal England's greatest", The Independent, 17 December 1999. 
  4. UEFA.com (2017-05-21). "Most consecutive UEFA Champions League campaigns | UEFA Champions League". UEFA.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-05-02.
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Arsenal FC kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.