Artturi Ilmari Virtanen

Artturi Ilmari Virtanen (15 Januari 189511 Novemba 1973) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Finland. Baadhi ya utafiti mwingi alichunguza virusi vikaavyo kwenye udongo. Mwaka wa 1945 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Artturi Ilmari Virtanen
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Artturi Ilmari Virtanen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.