Arua
Arua ni mji mkuu wa Wilaya ya Arua nchini Uganda.
Arua | |
Mahali pa mji wa Arua katika Uganda |
|
Majiranukta: 03°01′48″N 30°54′36″E / 3.03000°N 30.91000°E | |
Nchi | Uganda |
---|---|
Mkoa | Kaskazini |
Wilaya | Arua |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 53,600 |
Idadi ya wakazi wake ni takriban 53,600.
Tazama pia
haririViungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Arua kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |