Arusha Times ni gazeti la kila wiki linalotolewa mjini Arusha (Tanzania) kila siku ya Jumamosi. Ilianzishwa mnamo mwaka 1998 na kupatikana pia kwenye intaneti.

Faili:Arusha+Times+21+March+2015.jpg
Gazeti la Arusha Time,2015

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu "Arusha Times" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Arusha Times kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.