Asato Miyagawa (alizaliwa 24 Februari 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani. Asato anacheza kama beki wa timu ya taifa ya Japan pamoja na klabu ya Tokyo Verdy Beleza inayoshiriki ligi ya WE.[1][2]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Asato Miyagawa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.